Breaking News

WIMBO MPYA WA HARMONIZE


Msanii chipukizi aliyekuja kwa kasi na sasa kuwa maarufu akiwa na nyimbo chache tu, namzungumzia Harmonize akiwa katika lebo ya WASAFI inayosimamiwa na msanii Diamond Platnumz anayependa kujiita King Simba, hivi karibuni ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la NIAMBIE,
unauonaje wimbo huu na una lipi la kumwambia msanii huyu

1 comment: